Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar
Chagwa Lungu katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa
Lungu wakati wakiangalia kikundi cha matarumbeta kilichokuwa
kikitumbuiza uwanjani hapo kabla ya Rais Lungu kuondoka nchini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa
Lungu wakifurahia jambo mara baada ya kuangalia kikundi cha matarumbeta
kilichokuwa kikitumbuiza uwanjani hapo kabla ya Rais Lungu kuondoka
nchini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na mgeni wake Rais wa Zambia
Edgar Chagwa Lungu kabla ya Rais huyo wa Zambia kuondoka nchini mara
baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais wa Zambia Edgar
Chagwa Lungu wakati akielekea kupanda ndege uwanjani hapo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar
Chagwa Lungu ambaye ameondoka nchini mara baada ya kumaliza ziara yake
ya kikazi. PICHA NA IKULU







No comments:
Post a Comment